Jisajili Ushiriki Kidijitali

Kazi Kidijitali kwa Kijana wa Karne ya 21
Jifunze jinsi ya kufanya kazi popote duniani kwa njia ya mtandao. Warsha hii itakupa nafasi ya kupata ujuzi wa kutafuta na kupata tenda zinazopatikana katika majukwaa mbali mbali ya kidijitali ndani na nje ya nchi.

Mchongo Online
Karibu ufahamishwe kuhusu fursa mtandaoni, mbinu za kutengeneza pesa na namna ya kukuza ujuzi kwenye mitandao mbalimbali. Panua wigo wako wa kibiashara kwa kupata kundi jipya la wateja mitandaoni.
.jpeg)
Nguvu Kazi Mpya : Ujuzi wa Kidijitali kwa Vijana wa Bukoba
Kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia, ni vyema vijana katika maeneo mbalimbali nchini (Tanzania) kuwa na ujuzi wa Kidigitali. Ujuzi huu utafungua fursa mbalimbali kwa kijana zilizopo kwenye majukwaa kadhaa ya kimtandao.

Kuza Taaluma yako Katika Uchumi wa Kidigitali
Tembea sambamba na mojawapo ya sekta zinazokuwa kwa kasi zaidi duniani, na yenye fursa nyingi za ukuzaji wa ujuzi na ukuaji wa kazi. Imarisha taaluma yako katika Uchumi wa Kidigitali.

Ujuzi wa Kidijitali : Kuwa kinara wa karne ya 21
Ulimwengu wa kidijitali unakuwa siku baada ya siku, ujuzi zaidi wa kidijitali unaendelea kutolewa. Kwa hivyo, kuna hitaji kubwa la kujua ni ujuzi gani utakufanya uwe wa tofauti na bora katika soko la ajira la karne ya 21.

Ujuzi wa Kidijitali kwa Wajasiriamali na Soko la Ajira
Pata uelewa zaidi juu ya matumizi na mbinu za kidijitali kazini na katika shughuli za kijasiriamali ili kuweza kukuza biashara na kuivusha mipaka ya mkoa wako na kuuza bidhaa zako dunia nzima.
.jpeg)
Agribusiness Kidigitali
Fahamu fursa na ujuzi wa kidigitali katika kilimo ili kuboresha ufanisi na faida endelevu katika msururu wa thamani. Ujuzi wa kidijitali huleta ushindani katika soko la kimataifa, huku pia ukitengeneza fursa mpya.

ICT with cross-cutting issues.
Ulimwengu wa kidijitali unakuwa siku baada ya siku, ujuzi zaidi wa kidijitali unaendelea kutolewa. Kwa hivyo, kuna hitaji kubwa la kujua ni ujuzi gani utakufanya uwe wa tofauti na bora katika soko la ajira la karne ya 21.
Ujuzi wa Kidigitali Mahali pa Kazi.
Fahamu juu ya ujuzi wa kidijitali unaofaa kutumika katika maeneo mbalimbali ya kikazi. Ongeza mbinu za kidigitali na kujiungezea ufanisi katika kazi zako na majukumu mengine ya kiuchumi.

Ujuzi wa Kidijitali : Kuwa kinara wa karne ya 21
Ulimwengu wa kidijitali unakuwa siku baada ya siku, ujuzi zaidi wa kidijitali unaendelea kutolewa. Kwa hivyo, kuna hitaji kubwa la kujua ni ujuzi gani utakufanya uwe wa tofauti na bora katika soko la ajira la karne ya 21.
Fuatilia #TYDS2022

join us live
Join us virtually as we launch this year's Tanzania Youth Digital Summit. Public & Private Stakeholders will be engaged in dialogues around ICT for Education, ICT for Youth Employment, and ICT for Climate Change